Thursday, July 23, 2009

HAYA MAMBO YA HABARI HAYOOOOOO

Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Kapteni George Huruma Mkuchika akiongea na naibu wake Joel Nkaya Bendera bungeni mjini Dodoma, punde baada ya kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo.

1 comment: