Thursday, July 23, 2009

uandishi wa kiraia darasani




pichaa hizi zinaonesha wanafunzi wa kozi fupi ya uandishi wa kiraia, pale kituo cha mafunzo ya vijana kilichopo katika jengo la ofisi ya shirika la vijana TYC (Tanzania youth coalition)




mada juu ya blogu iliwezeshwa na Omulangira, Kamala Lutatinabigambobyabantu.

1 comment:

  1. Haya huo uandishi wa kiraia mlioanza kuufanya na uwe na manufaa kwa jamii yetu ya Kitanzania

    ReplyDelete